Utu wa mtu uthaminiwe.
Blog hii ni kwa ajili ya kubadilisha mtazamo wa jamii yenye mtazamo hasi, fikra potofu kuwa wekundu wa macho kwa wazee ni ushirikina.
WHY ushirikina kwa vikongwe.
Kupitia Blog hii tafakari kwa kubadilisha mtazamo na mawazo yako, jiulize kwani kizazi chako cha kwanza au mwisho, huyo mzee unayetaka kumuua wafikiri umri wa utoto akupitia, ujana je?
Kama si wazee wetu hii Ardhi tuliyokalia, madaraka na mali tunazotaka kujilimbikiza kwa kutowesha vikongwe visingekuwapo.
Watanzania tunakwenda wapi mbona nchi nyingine hawafanyi hivyo,
Swali, je ni Umaskini au uchu wa mali.
Mzee ana haki ya kuishi badili mawazo ya kukatisha maisha yake kabla ya wakati.
No comments:
Post a Comment