Bi meduled Yohana baada ya kutoa kilio chake kupitia vyombo vya habari shirika lisilokuwa la kiserikali WOMEDA Karagwe limejitokeza kumsaidia.
Bi Meduled Yohana ni mlemavu wa miguu yote miwili na Anakabiliwa na chanamoto ya kutunza na kusomesha familia ya watoto {8} yatima wakati huo hakiwa hana mtaji na vifaa vya kuendesha shughuli zake za ushonaji wa chelehani akitumia mikono.
Cahangamoto nyingine ni malazi na chakula.
No comments:
Post a Comment